Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

Acha hizo wewe.
Eti hatafuti ukubwa!
Kakobe ndio muanzilishi, mmiliki na mwendeshaji wa dhehebu la FGBFC kwa zaidi ya miaka 30 sasa. Huo ni ukubwa au udogo?

Hivi hakuna mtu mwingine wa kufaa kuchukua nafasi yake?

Hicho cheo, nafasi na mamlaka aliyonayo Kakobe hapo FGBFC kuna mtu mwingine amewahi kupewa?

Hivi hiyo nafasi waumini wanaweza kuamua kumpa mtu mwingine wakitaka?
 
Bado hujajibu maswali yangu, umekurupuka kuandika kilichopo kichwani mwako.

Mimi nimekuuliza tu, kama lengo ni kuihubiri injili ya Yesu Kristo (na sio kuvuna pesa za kondoo kwa gear ya sadaka kupitia kuhubiri injili), nini kilimfanya Kakobe kumkimbia Kulola (EAGT) ili kwenda kuanzisha dhehebu lake (FGBFC) ambalo ni tofauti kabisa na EAGT?
 
Kumsifia mtu pale anapofanya jambo jema siyo vibaya! Kuna wakati wa kukosoa na wakati wa kusifia.
Kwa sasa Kakobe hawezi tena kumkosoa Magufuli na CCM yake. Kwa sasa Kakobe anaimba mapambio ya sifa tu kumsifu Magufuli. Yaani Kakobe kapitiliza.

Tatizo sio Kakobe, tatizo na waumini wake ambao hawawezi kuhoji au kupingana na kile ambacho Kakobe anakielekea. Kama wamelogwa vile.
 
Kwani ili uhubiri Injili si lazima uwe na dhehebu? Kuhusu sadaka si kila mchungaji anakula sadaka za waumini.Nenda Kanisani kwake uone kama hicho unachozungumza ni sahihi.
Madhehebu yote yanahubiri Injili hata kama ni huduma tofauti.
 
Kwa miaka mingi Askofu Kakobe ametoa ufafanuzi wa maswali yako kupitia media au mitandao ya jamii. Hivyo, kila mtumishi wa Mungu ana historia yake tangu kale hata leo.

ABOUT BISHOP ZACHARY KAKOBE
 
Hadi muda huu hamna picha ya hiyo Nyumba. Blah blah tuu
Pita mbezi beach ya chini,njia panda kata kama unaelekea tangia bovu panda kilima kdg mbele upande wako wa kulia utaliona tu he Kalu hilo na kulikuwa na construction board client ilimuandika Jina la askofu
Endeleeni kutoa Sadaka

Ova
 
Unadhani kila mtu yupo Dar. Ovyooooo
 
Nilianza kwa kuangalia picha, nikadhani habari ina uhusiano na ACT-Wazalendo.

Bye
 
Pita mbezi beach ya chini,njia panda kata kama unaelekea tangia bovu panda kilima kdg mbele upande wako wa kulia utaliona tu he Kalu hilo na kulikuwa na construction board client ilimuandika Jina la askofu
Endeleeni kutoa Sadaka

Ova
Jumba kubwa hata halienei kwenye kemera ya simu, labda kemera ya itv itatoshea 😂
 
Pita mbezi beach ya chini,njia panda kata kama unaelekea tangia bovu panda kilima kdg mbele upande wako wa kulia utaliona tu he Kalu hilo na kulikuwa na construction board client ilimuandika Jina la askofu
Endeleeni kutoa Sadaka

Ova
Kwa hili umeongeza chumvi. Wakati wa ujenzi huo nimepita sana barabara hiyo. Kwenye kibao cha construction, jina la client liliandikwa, "FGBF GROUP OF DEVOTED MEMBERS". Huo ndiyo ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
 
Shida natoka job mida mibovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…