Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

Askofu Kakobe washirika wake wamekatiwa Bima ya Afya NHIF ! Nipeni mfano wa kanisa jingine kama lipo ?

Askofu Kakobe kwangu alikuwa mtumishi wa Mungu mwenye msimamo, asiye na mbwembe na mikogo kama wengine lakini pale alipojitokeza kutetea ile clip ya ngono ya porn star Gwajima tena kwa kutumia vifungu vya biblia, wakati ni Gwajima 100% alikuwa anajirekodi yuko na mwanamke anafanya uasherati, ndipo nilipomtoa kwenye kundi la watumishi wa Mungu. Na nina uhakika kabisa Kakobe ni mtu mwenye upeo hivyo aligundua bila shaka ile clip ni ya Gwajima bila shaka yoyote na mbaya zaidi anafanya ngono huku akijirekodi.
 
Walichofanya Ni kizuri makanisa yote waige wawawjengee maaskofu wao nyumba kuanzia katoliki na yote

Maaskofu wakistaafu huishi maisha duni Sana
Lakini pia nashauri makanisa ambayo hawawalipi mishahara wachungaji na maaskofu wawalipe ili pension iwe inapelekwa mashirika ya pensheni ili wakistaafu wawe na uhakika wa kipato cha pension ya mwezi

Migogoro mingi makanisani na vikongwe wengi kama akina Kakobe kukomaa tu madhabahani ni usalama wa kipato wakiachia madaraka

Nawaahauri kanisa la Kakobe wajadili pia Askofu akistaafu au mchungaji ataishije ili wakijua kuna uhakika watakuwa wepesi kukubali kustaafu umri ukifika na kuachia vijana washike

Hiyo nyumba aliyopewa ni kama sehemu ndogo ya pension yake lakini bado kuna tatizo mzee Kakobe umri umeenda vizuri kuongea naye live kuhusu akitaka kustaafu kanisa litamwezeshaje kuishi

Hili. Pia linahusu makanisani yote

Maaskofu wanaostaafu na kuwa na maisha mazuri wawe katoliki au lolote bado changamoto kubwa

Kuna mfano wa maaskofu waanzilishi wa makanisa ya kioentecoste na wachungaji wakiishiwa nguvu kwa uzee wakistaafu. Maisha wanayoishi Mungu tu ndie anajua

Na wengi hugoma kustaafu sahabu ya hofu akistaafu ataishije?

Hili Swala Mikutano mikuu ya makanisa na mabaraza walifanye agenda kuu
 
Hakika ni jambo la kuigwa na waumini wa madhehebu mengine kuwahudumia watumishi wa Mungu kama yanenavyo maandiko matakatifu.

Zama hizi si kama Zama za Zamani.

Na pia Yesu alitufundisha tumfawate yeye.

Lakini huyu anatufundisha kumjua Yesu.
Pia asingeweza Yesu afadhiliwe na wakati yeye ni Mungu
Alihitaji nyumba pia. Aliujua utajiri na umasikini. Mbona hakuukumbatia utajiri? Akiwashauri matajiri waachane nao wamfuate.
 
Ni kweli ispokuwa huyu yeye hakuomba.

Wala hakuitaji Bali wao walio wake katika Roho wamempatia Kwa kifungu kizuri tuu katika Maandiko
 
Watu wengi hapa wanachangia kwa chuki sana
Wanaongea kwa chuki kwa sababu wanadhani injili ni siasa.

Wanasahau kuwa kuna Nguvu isiyoonekana inayobadilisha maisha na kuleta ukombozi duniani
 
Faida ya kuwa tapeli wa imani za watu..inalipa si mnaona?!
 
Mimi siyo muumini wa FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP CHURCH. Lakini amini amini nakuambia Kakobe anastahili hii heshima.

Akofu wa Morogoro Laurence Mdee na Askofu wa Iringa Meshack ni mfano wa vijana walioamua kuachana na alinacha za ujana na kuanza kumtumikia Mungu.

Hao waumini 13 walioanzisha hilo Kanisa nakutajia kwa uchache

1. Zachary Kakobe
2. Hellen Kakobe
3. Paul Mwakatobe
4. Naitoiwoki
5. Mduma
6. Mdee
7. Meshack
8. Romanus
.......

Ikumbukwe kwamba injili inayohudumu pale FGBFC imepandwa kupitia jasho la Watanzania. Kakobe amepitia magumu mengi hayatajwi humu ila ameonyesha unyenyekevu mkubwa.

Nimejifunza vingi kutoka kwake kwa sababu wakati anaanzisha kanisa hilo ambalo lilitokana na kujimegua kwa Askofu Rodrick Mmbwambo kwa iliyokuwa The Gospel Evangelical Team (GET) ambayo Kakobe alikuwa Mkurugenzi wake.

Upendo na ustahimilivu wa Kakobe haupimiki lakini sisi wanadamu tuendelee kusema na kukosoa ingawa Mungu ndiye atakayetupimia
 
Huyu mzee ana historia yoyote na Marehemu Askofu Moses Kulola?
 
Hiyo nyumba nadhan naijua. Ni kasri kubwa balaa.

Ipo junctiin ya rainbow mbezi chini, next to GBP petrol station.

Hiyo kighorofa ni balaa kubwa. Jioni nitakipiga kapicha aisee

Ni kweli kabisa, usiku wakiwasha taa za nyumba+fence utadhani ni Abu Dhabi. Nyumba kali sana sema imejengwa kwenye kiwanja kidogo
 
Back
Top Bottom