ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,601
- 2,275
Supportive document ni muhimu sana, hapo nimeona picha ya funguo tuu itapendeza tukipata na picha ya nyumba yenyewe ambayo baba wa kiroho amezawadiwa na waumini wake.
Uhuni wa hawa viongozi wa dini(sio Kakobe pekee yake) ni kwamba wamepindua maandiko kichwa chini miguu juu.Kwa Kuongezea hapo kwenye upigaji,na mengineyo!
1.Ameanzisha kanisa mwaka 1989 akiwa na waumini 13
2.Ana makanisa zaidi ya 1000 Tanzania yote
3.Sadaka huwa haikatwi kodi
4.Ana kanisa na waumini zaidi ya 5000 nchini Korea kusini na yeye ni maarufu mno
5.hakuna mchungaji yoyote wa kiroho,labda umtoe Moses Kulola (Marehemu) anayeheshimika na waumini kama Kakobe,na kupendwa nao
6.TRA walimkuta na sh Bilioni nane cash Bank zenye maelezo yaliyonyooka, ikabidi TRA wamchunguze mke,watoto, au ndugu zake kwa kushirikiana na TISS kama wana biashara ingine
7.kuna Kitu Kinaitwa Imani, Ukiacha TAG ya moses Kulola hakuna kanisa lingine la kiroho linamkuta Kakobe kwa waumini Tanzania...na hawa waumini wanayoa sadaka,na sadaka zinagawanywa kati ya wachungaji, na familia ya kakobe...
Hitimisho: Angeamua Kuishi kama wachungaji wengine wanavyoishi, nigeria,us au uk wale wachungaji wa kinegiria au kina bushiri ningepata mashaka nae..
ila kama unajitambua...ukimuangalia KAKOBE na hawa wachungaji wengine wa Kiroho unamuona kabisa yeye ni wa tofauti kabisa....
Ukiambiwa KAKOBE umlinganishe na hawa wachungaji wengine wa kiroho utamlinganisha na nani? mimi Labda Moses Kulola...na Mwakasege (japokua mwakasege ni mwalimu)
Niambieni usanii wake ni upi? alishazalisha mke wa mtu,alishaua watu? alishatembea na waumini zake? alishavaa pete za ajabu? alishalewa hadharani?
Naomba nisamehewe kama nimekwaza watu ni mawazo yangu tu! na mm ni mkatoliki saafi!
Ahsanteni
Naunga mkono hoja
Very true.Waumini wake wamenyong'onyeaaaa kama wanaumwa.
Wako full radicalized aisee.
Katika maisha haya kuna vitu ni underated sana.
Uhuru wa fikra ( hasa ukidhibiti njaa ), Utu, na
Kujitegemea kimawazo
Hahah alikutana na Yesu?Aisee hawa jamaa kwa uongo wako njema sana aiseeee.Hahahaha hatari sana mkuu!
Huyu mzee aliposema tu alikutana na yesu ana kwa ana, nikaishia tu kucheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Eehee! Ila Waumini wakitaka nyumba na mali,anawaombea kwa Mungu,maana ndio mtoa vyoteBillion 8 za nn kwenye account ya mtumishi wa Mungu while makanisa ya Full Gospel mengi mikoani hayajasakafiwa, achilia mbali wachungaji wasio hata na makazi.
Kwa Kuongezea hapo kwenye upigaji,na mengineyo!
1.Ameanzisha kanisa mwaka 1989 akiwa na waumini 13
2.Ana makanisa zaidi ya 1000 Tanzania yote
3.Sadaka huwa haikatwi kodi
4.Ana kanisa na waumini zaidi ya 5000 nchini Korea kusini na yeye ni maarufu mno
5.hakuna mchungaji yoyote wa kiroho,labda umtoe Moses Kulola (Marehemu) anayeheshimika na waumini kama Kakobe,na kupendwa nao
6.TRA walimkuta na sh Bilioni nane cash Bank zenye maelezo yaliyonyooka, ikabidi TRA wamchunguze mke,watoto, au ndugu zake kwa kushirikiana na TISS kama wana biashara ingine
7.kuna Kitu Kinaitwa Imani, Ukiacha TAG ya moses Kulola hakuna kanisa lingine la kiroho linamkuta Kakobe kwa waumini Tanzania...na hawa waumini wanayoa sadaka,na sadaka zinagawanywa kati ya wachungaji, na familia ya kakobe...
Hitimisho: Angeamua Kuishi kama wachungaji wengine wanavyoishi, nigeria,us au uk wale wachungaji wa kinegiria au kina bushiri ningepata mashaka nae..
ila kama unajitambua...ukimuangalia KAKOBE na hawa wachungaji wengine wa Kiroho unamuona kabisa yeye ni wa tofauti kabisa....
Ukiambiwa KAKOBE umlinganishe na hawa wachungaji wengine wa kiroho utamlinganisha na nani? mimi Labda Moses Kulola...na Mwakasege (japokua mwakasege ni mwalimu)
Niambieni usanii wake ni upi? alishazalisha mke wa mtu,alishaua watu? alishatembea na waumini zake? alishavaa pete za ajabu? alishalewa hadharani?
Naomba nisamehewe kama nimekwaza watu ni mawazo yangu tu! na mm ni mkatoliki saafi!
Ahsanteni
wachache wanafaidi jasho la walipa tenth. Na hao wanaolipa fungu la 10 wengi ni maskini hoe hae.Billion 8 za nn kwenye account ya mtumishi wa Mungu while makanisa ya Full Gospel mengi mikoani hayajasakafiwa, achilia mbali wachungaji wasio hata na makazi.
Halafu imekuwa fashion siku hizi kila mchungaji anawaza kuishi kwenye ghorofa na kuendesha V8 bila kuangalia hali za kiuchumi cha waumini. Lakini kibaya zaidi kazi ya Mungu haifanyiki kwa kiwango cha miaka ile ya kina Moses Kulola at the expense of kuwatajirisha watumishi. Watu wapo tayari kumchangia mchungaji gari lakini mwaka mzima wasifanye mkutano wa injili.wachache wanafaidi jasho la walipa tenth. Na hao wanaolipa fungu la 10 wengi ni maskini hoe hae.
Teh teh ile ni yke mwenyeweHiyo nyumba nadhan naijua. Ni kasri kubwa balaa.
Ipo junctiin ya rainbow mbezi chini, next to GBP petrol station.
Hiyo kighorofa ni balaa kubwa. Jioni nitakipiga kapicha aisee
Hiyo nyumba nadhan naijua. Ni kasri kubwa balaa.
Ipo junctiin ya rainbow mbezi chini, next to GBP petrol station.
Hiyo kighorofa ni balaa kubwa. Jioni nitakipiga kapicha aisee
tuwekee hapa tuone. Na siyo kuwa ni waumini, no ni pesa anazopiga waumini, sasa kuepuka maswali, ........ wamenijengea waumini. JANJA YA NYANIHiyo nyumba nadhan naijua. Ni kasri kubwa balaa.
Ipo junctiin ya rainbow mbezi chini, next to GBP petrol station.
Hiyo kighorofa ni balaa kubwa. Jioni nitakipiga kapicha aisee
Ipo siku atawafungia mle kwenye lile banda lake halafu awalishe moto wa petrolWaumini wake wamenyong'onyeaaaa kama wanaumwa.
Wako full radicalized aisee.
Katika maisha haya kuna vitu ni underated sana.
Uhuru wa fikra ( hasa ukidhibiti njaa ), Utu, na
Kujitegemea kimawazo
Hapendizi upotoshaji ! Kama haujui ni kuuliza.Mbona hiyo anayo toka zamani. Alipewa zawadi na falme za kiarabu.
Teh teh ile ni yke mwenyewe
Kataka ionekane kama kajengewa kmbe watu kitambo wanajua
Ova