Waumini wa Mwamposa wakichota udongo uliokombolewa

Kila mtu atakula kwa Urefu wa kamba yake
 
Siku chifu mangungo wa msovero akiamka Leo kutoka kaburini atawahukum hiki kizazi kuwa ni Cha wajinga, kwa kuwa yeye kipindi anadanganywa na karl peter hakuwa anajua kusoma
 
Kwa kweli huu ni ujinga wa hali ya juu,si jui watu wamelogwa
 
Back
Top Bottom