Waungwana hamjambo?

Waungwana hamjambo?

tetemeko

Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
7
Reaction score
1
Napenda kujiunga nanyi waungwana wa jamii forum. Pia nawapa salaam toka kwa watu wa Mpanda nilikotoka juzi kuja maadhimisho ya miaka 13 ya kifo cha mwl na kuamua kwamba sitarudi tena huko.

Nawapongeza sana nyote kwa michango ya kujenga jamii yetu, kwa hakika hata kama baadhi ya watu watajifanya hawajaona umuhimu wa jamii forum nafsi zao huwasuta kwa kutoiamini jamii forum. Big up every one.

Kuanzia jana nimeamua kuhamia Dar ili kuwapa vijana wengine nafasi ya kuishi Mpanda pia.
Ni mimi ntoto wa mganga wa jadi.
 
Mbona unatukimbia ndugu yetu, karibu tena mpanda huku msaginya tujenge mji wetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom