Waungwana kama kanji hana mnara huyu jamaa ajengewe mnara chapu

Mbondijr

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
184
Reaction score
355
Haiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh

Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto

Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa hata chenchi asinibakishie

Ina maana kesho naenda kazini by foot.

Shikamoo kanji
 
Nan kachana chelitako au liverkuku au Madrid au man utd hahaha hakuna pesa rahisi dunian.
 
Ku bet kunahitaji akili kubwa na mtaji mkubwa .kabla ya kuanza biashara fanya mpango uwe na mtaji mzuri .

Sasa wew ela ya mshahara unaipeleka kwenyw kamari utaumia vibaya wew😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…