😂😂😂😂Hata leo ni ods mbili zimeniponza
Watu saiv awa beti tensma timu kushindaHuku Chelsea, pale Real madrid, kule Liverpool kwa kule hivi Man U hakuna mshale unaweza ukwepa hii ndio betting.
Ukiona umefikia kiwango cha kutumia mshahara wako wote kwenye kamali (betting) basi unahitaji maombi 🙌
Cheza kamali Kwa kiasi Mkuu, usije kuwalaza njaa watoto/familia kama unayo
Nishafuta kila kitu kuhusu betEndelea na kazi kijana mwezi ukiisha ukipokea mzigo wako kaweke wote tena utaludi mara tatu, yaan huo na ule wa mwezi uliopita na faida juu, mikosi haiji mara mbili kikubwa imani utamlamba tu nae abaki makalio wazi.
Pole sana kwa kuliwaHaiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh
Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto
Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa hata chenchi asinibakishie
Ina maana kesho naenda kazini by foot.
Shikamoo kanji
Nani kakwambia ulaibu wa bet wanafutaga kama unavyofuta kalatasi na ufutio?Nishafuta kila kitu kuhusu bet
Umefanya vizuri Mkuu, maana ulikuwa unaelekea kuiweka bond hati ya nyumba ya familia wewe 😜Nishafuta kila kitu kuhusu bet