Waungwana kama kanji hana mnara huyu jamaa ajengewe mnara chapu

Endelea na kazi kijana mwezi ukiisha ukipokea mzigo wako kaweke wote tena utaludi mara tatu, yaan huo na ule wa mwezi uliopita na faida juu, mikosi haiji mara mbili kikubwa imani utamlamba tu nae abaki makalio wazi.
 
Ukiona umefikia kiwango cha kutumia mshahara wako wote kwenye kamali (betting) basi unahitaji maombi 🙌

Cheza kamali Kwa kiasi Mkuu, usije kuwalaza njaa watoto/familia kama unayo

Endelea na kazi kijana mwezi ukiisha ukipokea mzigo wako kaweke wote tena utaludi mara tatu, yaan huo na ule wa mwezi uliopita na faida juu, mikosi haiji mara mbili kikubwa imani utamlamba tu nae abaki makalio wazi.
Nishafuta kila kitu kuhusu bet
 
Pole sana kwa kuliwa
 
Tena nyie wa high stake ndo anawatakaga sasa yaan ile game inaanza unaanza na kulia na inaisha hvyo hvyo
 
Ukihamia ktk Aviator ww kuna mawili..

Kufa au kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…