Waungwana, msaada tutani

Waungwana, msaada tutani

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
651
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?

Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono

Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza

Ahsante
 
Umeshaomba ?
Omba kwanza then mambo mengine yanagafata.
 
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?

Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono

Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza

Ahsante
Za kuambiwa changanya na zako huo ni mtego wa kuwavutia wenye tamaa
 
Kuna jamaa aliwahi tolewa chambo kama mlinzi kwenye mnara wakamuua na kuiba ma betrii ya mnara Ila mungu ni mkuu walikamatwa,
So kuwa makin Sana KAZI hiyo wengi huwa wanaangushiwa kesi na kuuawa
 
Shukrani sana
 
Mshahara mnono ni 300k mlinzi amelipwa sana kiwngo cha juu ni 300k maaa ndo kazi ya mwisho duniani, ila kama una cheti cha jkt au mgambo watakupa 400k ila mlinz mshahara una range 100k-300k ndo mana wameona aibu kutaja apo
 
Back
Top Bottom