Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
Umeshaomba ?Habari za muda huu
Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?
Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono
Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza
Ahsante

Za kuambiwa changanya na zako huo ni mtego wa kuwavutia wenye tamaaHabari za muda huu
Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?
Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono
Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza
Ahsante
ShukraniOmba kazi hiyo...
Ingawaje changamoto ya kazi za ulinzi kwenye miradi huwa kuna udokozi mno, hukawii kuwa chambo ukaangushiwa jumba bovu...
Shukrani sanaKuna jamaa aliwahi tolewa chambo kama mlinzi kwenye mnara wakamuua na kuiba ma betrii ya mnara Ila mungu ni mkuu walikamatwa,
So kuwa makin Sana KAZI hiyo wengi huwa wanaangushiwa kesi na kuuawa