Ilikuwa balaa...Mtoto alinishikaga.Pole na hongera kutoka kwenye hicho kifungo.
Sema ndo imebaki story. Na yeye kuna muda lazima anakumbuka alivyokunyanyasa
Hahahaha...Tema mate chini Mzigua90[emoji23]Sema ndo imebaki story. Na yeye kuna muda lazima anakumbuka alivyokunyanyasa
Halafu hiyo kumbukumbu inampa furaha au inamtesa ?Sema ndo imebaki story. Na yeye kuna muda lazima anakumbuka alivyokunyanyasa
Haiwezi kumtesaHalafu hiyo kumbukumbu inampa furaha au inamtesa ?
Sio kweli.Haiwezi kumtesa