Waungwana nateketea

Hujalogwa Sema umeambukizwa nuksi Tena ukute mwanamke katoka na jamaa uchi bado hujakauka vizuri na wewe unapewa ukijua ameloana kwa sababu yako hapo hiyo nuksi kuitoa sio rahisi...
Safisha mwili tu utakuwa sawa.
Tafuta maji ya bahari ndoo Kisha ilaze nje ikiwa wazi asubuhi mapema ogea..
Kama upo mbali na bahari oga ndoo 40 yaani moja mpaka inafika 40 kila unapooga ndoo moja unaweka na chumvi mawe kidogo.
halafu ulete majibu hapa..
Sasa Dharau hii comment.
 
this is now a common problem. wanaume wengi sana wanapitia hii. kuna kitu akipo sawa.
Sema wavulana usiseme wanaume,

Mwanamke mmoja hawezi kuwachezea akili wanaume wawili wanaojielewa,

Mwanamke anakusaliti kisha unamuacha,halafu wewe uliyesalitiwa ndio unamuomba msamaha msaliti ili mrudiane! Sasa hiyo ni akili au wendawazimu tu?
 
sio gungu. maana mambo yako yataenda fresh sana. kila jambo lita tick ila wanawake wanakukataa tu.

omba sana lisikukute. now ni kama ugonjwa upo town hapa. wanawake wanawake wanaloga wasiachike.
Ndio umerogwa tena?
 
kesho it will be done. ila mambo yangu ya naenda fresh
 
Mzeya una gundu wanawake saba wote ngoma nagu 🀣🀣🀣🀣
Aloooh sii mchezo vipi hela unatoa lakini?
Kuna wakati inatokea mkuu, yaani kila unapogusa holla..
 
Kwenye ma-ex uliowahi kuwa nao, kuna ambae ulimuacha vibaya kwa kashfa na dharau πŸ€” Danielmwasi
 
Huyo kwanza
Anangoma huyo anakuonea huruma ww
 
pesa utoboi. gari utoboi, wanaakataa tu out of no where ana sema moyo wake aupo sawa πŸ˜‚πŸ˜‚.

kuna mganga yupo town anatoa dawa sijui nani.
Hata mimi napitia situation kama yako, back then nlikuwa napata mademu kirahisi ila sahivi almost kila nkitongoza nakataliwa, nikiona kama nimekubaliwa kiss napata, ila demu hatoi papuchi au demu anaanza vizinga hata mzigo hajatoa, nafikiri yangu tofauti kidogo, nikikubaliwa nakubaliwa na kufatwa na mdada ambae kwakweli daah, ni mbovu kimuonekano kiasi cha kwamba siwezi sex nae au kumtambulisha kwa watu kama wife, though kufatwa na demu it happened only twice. Hivyo kuoa inaniwia vigumu.

Sijui sababu ya hii situation ni kununua malaya pia, Daniel chunguza kama ushawahi nunua wanaojiuza barabarani huenda ilikuwa chanzo cha tatizo lako Danielmwasi zerominus10 Tit4tat
 
Sijui sababu ya hii situation ni kununua malaya pia, Daniel chunguza kama ushawahi nunua wanaojiuza barabarani huenda ilikuwa chanzo cha tatizo lako
Hakuna ukweli hapo sio chanzo hicho akikwambia umpe 60 ndio umgonge km demu wako pia hapo amekuuzia kyuma
 
kuna pisi hapo kaenda kwa mganga, mwanaume wake awe wake tu. sasa ana maex kama Mia. we are all affected.

2. mimi sijawai nunua in my life. ila this time hadi pesa zina goma. nyota hadi bar sionekani

3. mimi na pisi za mwaka jana hadi tena ni mbovu tu. na punguza siku moja moja. na zina watu wao,

wewe tupo wote chamani. hadi tupate solution. humu ndani kuna watu wana jua dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…