Tit4tat
Member
- May 31, 2022
- 58
- 169
Habari wakuu!
Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo.
Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita yule jamaa akaomb msamaha ila dem akamchomolea.
Baada ya kuishi nae kwa miez 6, huyu mwanamke akansalit akaend kwa jamaa ake huyu huyu ambay alimsalit akaj kwangu lakin hawakudum sana waliwasliana ndan ya wiki moja tu wakasitish mawaslian yao kwasabb kila mmoj hakuw na upend wa dhat na mwenzie kam ilivyokuwa mwanzo. Huyu mwanamke alinsalit baad ya kumkera kuna jambo nililfanya halkuw sawa kwa upande wake kwa hasira akaamua amtafute jamaa ajiliwaze.
Nilipogundua amenisaliti nkamuacha lakin zilipita cku tatu tu akaanz kuniomba msamaha, nkasamehe kwasabb nliwaza mim n chanzo cha kuachana kwao bila mim huend wangkuw pamoj had leo. NILICHOGUNDUA, huyu mwanamke ni mgumu kuanzsha mahsiano mapya kuliko kurud kwa EX maana ilinichkua miez 5 kumshawish awe na mimi, tena ni baad ya kugundua udhaifu wake ulipo.
Kiukwel huyu mwanamke sio mtu wa virungu icpokuw namzingatia mwenyew tu, hata ikitokea amekuja home anaweza kutumia pesa yake na akasepa kwa naul yake. Kwa kifup haomb pesa labda ujiongze mwenyew tu. Ni mfanykaz kazi sehem fulan.
Tangu anisaliti nkapungza upendo na uaminifu kwake, nkawaza nitafute mwingne ili ikitokea tena nisiangaike nae.
SHIDA IMEANZIA HAPA; tangu niwe kwenye mahsiano na huyu mwanamke sijawah kukubaliwa na mwanamke yeyote, kila nikitongoza nakataliwa had kufkia leo nmetongoza wanawake 7 na wote wamenkataa.
X-MAS ipo karibu lakin hawajal kuhsu hilo, najiulza hii ipo sawa au kuna jambo halipo sawa. Wanawake wote saba hakuna anaejua mahsiano yangu ya sasa.