Waungwana nateketea

Waungwana nateketea

Habari wakuu!
Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo.
Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita yule jamaa akaomb msamaha ila dem akamchomolea.

Baada ya kuishi nae kwa miez 6, huyu mwanamke akansalit akaend kwa jamaa ake huyu huyu ambay alimsalit akaj kwangu lakin hawakudum sana waliwasliana ndan ya wiki moja tu wakasitish mawaslian yao kwasabb kila mmoj hakuw na upend wa dhat na mwenzie kam ilivyokuwa mwanzo. Huyu mwanamke alinsalit baad ya kumkera kuna jambo nililfanya halkuw sawa kwa upande wake kwa hasira akaamua amtafute jamaa ajiliwaze.

Nilipogundua amenisaliti nkamuacha lakin zilipita cku tatu tu akaanz kuniomba msamaha, nkasamehe kwasabb nliwaza mim n chanzo cha kuachana kwao bila mim huend wangkuw pamoj had leo. NILICHOGUNDUA, huyu mwanamke ni mgumu kuanzsha mahsiano mapya kuliko kurud kwa EX maana ilinichkua miez 5 kumshawish awe na mimi, tena ni baad ya kugundua udhaifu wake ulipo.

Kiukwel huyu mwanamke sio mtu wa virungu icpokuw namzingatia mwenyew tu, hata ikitokea amekuja home anaweza kutumia pesa yake na akasepa kwa naul yake. Kwa kifup haomb pesa labda ujiongze mwenyew tu. Ni mfanykaz kazi sehem fulan......
tangu anisaliti nkapungza upendo na uaminifu kwake, nkawaza nitafute mwingne ili ikitokea tena nisiangaike nae.

SHIDA IMEANZIA HAPA; tangu niwe kwenye mahsiano na huyu mwanamke sijawah kukubaliwa na mwanamke yeyote, kila nikitongoza nakataliwa had kufkia leo nmetongoza wanawake 7 na wote wamenkataa.
X-MAS ipo karibu lakin hawajal kuhsu hilo, najiulza hii ipo sawa au kuna jambo halipo sawa.
Wanawake wote saba hakuna anaejua mahsiano yangu ya sasa...​
Wanajua umerudiana na Ex wako, wanakuhurumia. Hawataki kukuharibia mahusiano yako.

Endeleeni na huyo huyo, akichoka kwako anarudi kwa yule jamaa analoweka, akichoka huko anakuja kwako kuloweka. Safi sana, mnapokezana vijiti shwaini nyie. Wanaume wa siku hizi wapuuzi sana
 
Habari wakuu!
Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo.
Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita yule jamaa akaomb msamaha ila dem akamchomolea.

Baada ya kuishi nae kwa miez 6, huyu mwanamke akansalit akaend kwa jamaa ake huyu huyu ambay alimsalit akaj kwangu lakin hawakudum sana waliwasliana ndan ya wiki moja tu wakasitish mawaslian yao kwasabb kila mmoj hakuw na upend wa dhat na mwenzie kam ilivyokuwa mwanzo. Huyu mwanamke alinsalit baad ya kumkera kuna jambo nililfanya halkuw sawa kwa upande wake kwa hasira akaamua amtafute jamaa ajiliwaze.

Nilipogundua amenisaliti nkamuacha lakin zilipita cku tatu tu akaanz kuniomba msamaha, nkasamehe kwasabb nliwaza mim n chanzo cha kuachana kwao bila mim huend wangkuw pamoj had leo. NILICHOGUNDUA, huyu mwanamke ni mgumu kuanzsha mahsiano mapya kuliko kurud kwa EX maana ilinichkua miez 5 kumshawish awe na mimi, tena ni baad ya kugundua udhaifu wake ulipo.

Kiukwel huyu mwanamke sio mtu wa virungu icpokuw namzingatia mwenyew tu, hata ikitokea amekuja home anaweza kutumia pesa yake na akasepa kwa naul yake. Kwa kifup haomb pesa labda ujiongze mwenyew tu. Ni mfanykaz kazi sehem fulan......
tangu anisaliti nkapungza upendo na uaminifu kwake, nkawaza nitafute mwingne ili ikitokea tena nisiangaike nae.

SHIDA IMEANZIA HAPA; tangu niwe kwenye mahsiano na huyu mwanamke sijawah kukubaliwa na mwanamke yeyote, kila nikitongoza nakataliwa had kufkia leo nmetongoza wanawake 7 na wote wamenkataa.
X-MAS ipo karibu lakin hawajal kuhsu hilo, najiulza hii ipo sawa au kuna jambo halipo sawa.
Wanawake wote saba hakuna anaejua mahsiano yangu ya sasa...​
Kwenye kikao cha mwezi10 haukuwepo? Hudhuria vikao trh 18/12/024 tunakikao cha mwisho cha kufunga mwanga 2024 kinafanyikia geita nyakumbu chini ya mwembe.
 
Ogea maji ya bahari mixer magadi
 
hii kitu inanitesa mimi miezi kama 5 hivi. pisi kama 30 hivi zinachomoa. back then nilikuwa nikitupa imo, sijawai hustle hivi, ni kama nimelogwa .

nipo single hata siamini. na kunywa tu pombe. this weekend ninunue tu for the 1st time. nivunje hii curse. sijui mganga gani yupo mjini anawapa dawa hawa wanawake watufunge.

sio kawaida kuna dawa zipo mtaani.

wahuni tupeni solution??

Ie. hili swala hadi pesa aifanyi kazi. unaweza order malaya akawa period. ni hustle kubwa sana.
😂 kaza tuma maombi mara nyingi
 
Mkuu unapotongoza usichague sana mkuu. Wewe lipuka kwa demu yeyote tuu utoe kwanza huo mkosi. Pia kwa mademu wa sasa usitongoze wewe mwambie tuu atachagua akubali au akatae ukitongoza atakutesa sana maana sahivi wanaume hatutongozi tena
 
old trick, unakaza sana, sema kutoa ndo shida. kukubaliwa sio issue
 
Kwa uandishi huu napata picha kwanini wanakupiga chini.
 
Afadhar wewe mimi niliachwa nilichanganyikiwa nikataka nianzishe uzi nikaghair nikamfuata mwana jf humu akanisaidia mtu nikawasiliana nae nikarudiana nae,kero zimeanza sasa mimi ndo naanza kuchoka dadeq nataman nihame kimyakimya mtaa nikimmis nitamtafuta
 
Bro are you a simp?

Kwa sababu naona upo kwenye mahusiano na mtu ambaye anaweza kukucheat na akarudi muda wowote kwa sababu anajua you are weak.

Hivi mtu akicheat huwa mnaweza vipi kusamehe aisee? 🤔
 
Habari wakuu!

Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo.

Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita yule jamaa akaomb msamaha ila dem akamchomolea.

Baada ya kuishi nae kwa miez 6, huyu mwanamke akansalit akaend kwa jamaa ake huyu huyu ambay alimsalit akaj kwangu lakin hawakudum sana waliwasliana ndan ya wiki moja tu wakasitish mawaslian yao kwasabb kila mmoj hakuw na upend wa dhat na mwenzie kam ilivyokuwa mwanzo. Huyu mwanamke alinsalit baad ya kumkera kuna jambo nililfanya halkuw sawa kwa upande wake kwa hasira akaamua amtafute jamaa ajiliwaze.

Nilipogundua amenisaliti nkamuacha lakin zilipita cku tatu tu akaanz kuniomba msamaha, nkasamehe kwasabb nliwaza mim n chanzo cha kuachana kwao bila mim huend wangkuw pamoj had leo. NILICHOGUNDUA, huyu mwanamke ni mgumu kuanzsha mahsiano mapya kuliko kurud kwa EX maana ilinichkua miez 5 kumshawish awe na mimi, tena ni baad ya kugundua udhaifu wake ulipo.

Kiukwel huyu mwanamke sio mtu wa virungu icpokuw namzingatia mwenyew tu, hata ikitokea amekuja home anaweza kutumia pesa yake na akasepa kwa naul yake. Kwa kifup haomb pesa labda ujiongze mwenyew tu. Ni mfanykaz kazi sehem fulan.

Tangu anisaliti nkapungza upendo na uaminifu kwake, nkawaza nitafute mwingne ili ikitokea tena nisiangaike nae.

SHIDA IMEANZIA HAPA; tangu niwe kwenye mahsiano na huyu mwanamke sijawah kukubaliwa na mwanamke yeyote, kila nikitongoza nakataliwa had kufkia leo nmetongoza wanawake 7 na wote wamenkataa.

X-MAS ipo karibu lakin hawajal kuhsu hilo, najiulza hii ipo sawa au kuna jambo halipo sawa. Wanawake wote saba hakuna anaejua mahsiano yangu ya sasa.​
tafuta Ngololo mwanetu
 
Back
Top Bottom