nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Nimejaribu kuutafuta mahali mahali nimekwama.
Sijui kauimba nani, na sijui kama ni mpya au wa zamani,,,,
MANENO YAKE...''Tabibu nimesikia habaari wewe mponyaaji,mponyaaji,,,
Na mimi, nimeona boora niije, nije nikueleze taabu yaangu''....
NATANGULIZA SHUKRAN ZA DHATI