Waungwana..ndo hivi maisha ya ndoa ????

Waungwana..ndo hivi maisha ya ndoa ????

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
8.jpg


nakata rufaa!!!!
 
nimecheka kweli hapo uliposema unakata rufaa, mwehh.
 
mmmh ........dunia ya wenda wazimu hii!
 
Sasa kwenye ndoa tu kaja bila nguo kwanini usimfunge kamba! Maanake akitoka tu peke yake wanaume wa shoka watajisevia tu.
 
hizo picha zilikuwa kwenye FFO wakubwa na zilikuwa zikionyesha tamaduni za ndoa mbali mbali kulingana na eneo hucka lakini c kwa mtazamo niuonao hapa
 
Back
Top Bottom