Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,512
- 2,712
Jamani nina ndugu yangu ni mmoja kati ya hawa waliopata sufuri ya miaka minne. nahisi moja ya sababu zilizopelekea ni kubwia ugolo. kifupi ni kwamba huyu dogo anaubwia kwa fujo kiasi kuwa huwa analala nao mdomoni. naomba mnifahamishe athari zake nimuelimishe. Nawakilisha.