Waungwana tusaidiane mawazo kidogo

Waungwana tusaidiane mawazo kidogo

Kwa hyo huko jikon ni njia ya msalani au? BA's ntamtafuta hyo mchora Raman kwanza
 
Halaf mwanaume kulala ukwen labda kuwe na msiba,binafs cwez kulala ukwen nyumba moja paa moja ambalo mkwe amelala na hua namkojoza mwanae bado nilale humo humo aaaagggghhhh cwez Ila msiban tunacheza karata mpka asbhi
 
Back
Top Bottom