Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Hii quiz kwa vijana wanaojiandaa kwa ndoa, chagua jibu sahihi: Ukiwa na akiba ya pesa kiasi cha shilingi 200,000/- na Mkeo naye anazo shilingi 300,000/- jumla ktk familia yenu mtakuwa na shilingi ngapi?
A. 200,000/-
B. 300,000/-
C. 500,000/-
 
Hii quiz kwa vijana wanaojiandaa kwa ndoa, chagua jibu sahihi: Ukiwa na akiba ya pesa kiasi cha shilingi 200,000/- na Mkeo naye anazo shilingi 300,000/- jumla ktk familia yenu mtakuwa na shilingi ngapi?
A. 200,000/-
B. 300,000/-
C. 500,000/-
Jibu apo ni A, ila ukikuta umeoa mwanamke anayejitambua jibu litakuwa C!

Nimewasaidia kujibu vijana ambao wanajiandaa kuoa! Kwa wakubwa Na wanandoa wenzangu, najua mnaelewa namaanisha nin!
 
Makamnda kiboko yenu ni Joyce Kiria SUPER WOMAN ANAYE WALELEA KAMANDA MWENZENU.
Makamanda hamna aibu badala ya kupitisha machango wa kumsaidia Marioo Kilewo nyie mnazidi kumuweka mahala pabaya zaidi kumtukana mtu anaye mtunza kamanda wenu..
Mlipaswa muda huu muwe mnapitisha mchango....
 
Nabii Tito mwingine
 
Naona anajitengenezea mazingira nje ya ndoa.

Aisee kuna wanaume wenzetu wanakutana na mengi ya kuvulimia.
 


Nyinyi watu huwa mnashangaza sana, mnafikiri maisha ya kila mtu yaonaongozwa na hii novel ya kuitwa biblia?
 
Eti mwanaharakati wa masuala ya wanawake,,,laana zingine mnajitafutia tu,,,Ndoa za wazazi wetu zilidumu miaka mingi na hao wanaharakati hawakuwepo,,mama zetu walipewa vipigo to the maximum,,akitoroka kurudi kwao nako alipokelewa kwa kipigo na kurudishwa kwa mmewe,, Sahivi wanawake wanaishi wanavyotaka,,ukimgusa kofi tu kesho yake yupo usitawi wa Jamii anataka mgawane mali. Hit and run ni dawa nzuri sana ya wanawake Wasiojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…