Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Wanawake wanatakiwa wajitafakari, wasiwe watu wakutoa cheche zao bila kutafakari! Huko n kujitafutia umaarufu usio Na kichwa wala miguu!,

She must learn how to live with her husband and society! Hakuna sababu ya kuanika mambo ndani public! Hiyo inajidhirisha kuwa huenda labda anapewa jeuri Na ......., but sio inshu! Hata km amepata mwingine, ana wajibu wa kumuheshimu mumewe!

Suppose, angekutana Na mume wa mwendokasi, nae aanze kutangaza weaknesses zake? Pangetosha APA? Au huyu mwananke (sio mwanamke) anatafuta kiki? Ameahidiwa jimbo?

Nimekwazika sana!

Huu ni unyanyasaji wa KINDOA!

lazima ulaaniwe Na kukomeshwa Mara moja!
Hii quiz kwa vijana wanaojiandaa kwa ndoa, chagua jibu sahihi: Ukiwa na akiba ya pesa kiasi cha shilingi 200,000/- na Mkeo naye anazo shilingi 300,000/- jumla ktk familia yenu mtakuwa na shilingi ngapi?
A. 200,000/-
B. 300,000/-
C. 500,000/-
 
Jibu apo ni A, ila ukikuta umeoa mwanamke anayejitambua jibu litakuwa C!

Nimewasaidia kujibu vijana ambao wanajiandaa kuoa! Kwa wakubwa Na wanandoa wenzangu, najua mnaelewa namaanisha nin!
 
Makamnda kiboko yenu ni Joyce Kiria SUPER WOMAN ANAYE WALELEA KAMANDA MWENZENU.
Makamanda hamna aibu badala ya kupitisha machango wa kumsaidia Marioo Kilewo nyie mnazidi kumuweka mahala pabaya zaidi kumtukana mtu anaye mtunza kamanda wenu..
Mlipaswa muda huu muwe mnapitisha mchango....
 
Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
Nabii Tito mwingine
 
Naona anajitengenezea mazingira nje ya ndoa.

Aisee kuna wanaume wenzetu wanakutana na mengi ya kuvulimia.
 
Acheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!

Nyinyi watu huwa mnashangaza sana, mnafikiri maisha ya kila mtu yaonaongozwa na hii novel ya kuitwa biblia?
 
Eti mwanaharakati wa masuala ya wanawake,,,laana zingine mnajitafutia tu,,,Ndoa za wazazi wetu zilidumu miaka mingi na hao wanaharakati hawakuwepo,,mama zetu walipewa vipigo to the maximum,,akitoroka kurudi kwao nako alipokelewa kwa kipigo na kurudishwa kwa mmewe,, Sahivi wanawake wanaishi wanavyotaka,,ukimgusa kofi tu kesho yake yupo usitawi wa Jamii anataka mgawane mali. Hit and run ni dawa nzuri sana ya wanawake Wasiojitambua.
 
Back
Top Bottom