Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Mtenda akitendwa. Teh teh teeeeh!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mungu akubarki,naona kwenu kunafanana na kwetu kabsa, mtoto wa kike nyumbani kwake kwa mumewe co kwa babake, unaporud kwa baba huna nafasi tena, kwanini akili isikukae kichwani?
 
Gud point
 
Hii quiz kwa vijana wanaojiandaa kwa ndoa, chagua jibu sahihi: Ukiwa na akiba ya pesa kiasi cha shilingi 200,000/- na Mkeo naye anazo shilingi 300,000/- jumla ktk familia yenu mtakuwa na shilingi ngapi?
A. 200,000/-
B. 300,000/-
C. 500,000/-
A
 
Ukikataa mwanga vumilia adha za gizani. Kama haongozwi nayo basi avumilie kuambiwa Ukweli Mchungu hadharani.


Kinachonikera ni kuona watu walio gizani mnajiona mna ufahamu kumbe mko kama mbwa mnaongozwa na miluzi tu. Na watu wanaoufahamu ukweli wamenyanyama, and don't bother anybody. Religion is like penis, hide it for yourself and you don't have to show it to everybody.
 
Na hii ndio maana halisi ya ndoa, nadhani utandawazi na mila za western zimeharibu mfumo mzuri wa ndoa tuliokua nao hapo mwanzoni. Siku hizi kinachofanyika Afrika ni copy n paste ya Ulaya. Bado kufikia level za kufunga ndoa za mikataba tu. Trust me ndoa za wanaojiita wanaharakati sijui watu wa haki sawa huwa hazidumu (Hakunaga Haki sawa hata Mungu akutuumba sawa)
 
Kiria amaichafua family kwa kulialia mbona alikuwa housigel kileo kamuendeleza
 
H
Huyu Kiria alifaa aolewe na Kapteni wa Clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…