Waungwana wamvaa Joyce Kiria

Labda kanunuliwa na uvccm maana ni rahisi zaidi kumshawishi Mwanamke kuliko mwanaume


Siyo kila kitu ni CCM na chadema, jaribu kutumia akili japo hata kidogo. Haka kademu kwa nyie msiomjuwa ni fake at best....si vile mnavyomuona kwenye TV akijishebedua. Joyce like any other shangingi wa Dar ana mengi sana yasiyosemeka kwa sasa, tunamvumilia kidogo kwa sababu ndoa yake bado haijavunjika.....anyways, kwa kifupi ana tabia ya kurithi ya kichagga.....nafikiri mnanielewa. Usikute hizo hela anazomringia kumlisha mumewe zinamuuma kwa sababu anapewa na mwanamme mwingine haoni sababu ya kushare na mumewe wa ndoa bali wa nje tu.
 
Biblia gani unayo refer hapa? Kitabu cha Joshua kina sura 24 basi!!!
Kitabu cha Yoshua Bin Sira ni miongoni mwa vitabu vya hekima. Hiki ni tofauti na kitabu cha Yoshua ambacho kiko kundi la vitabu vya historia. Kitabu cha Yoshua Bin Sira unaweza kukipata kwenye biblia ya kikatoliki au za kiprotestant zenye nyongeza ya vitabu vya deutrokanoni.
 
Nahisi atakuwa amekuelewa ila binafsi kanikera sana huyu mwanamke
 
Soma mithali 31mstari wa kwanza na kuendelea
 
Joyce hajafanya sawa kitangaza. Ila kiukweli hajamjengea Kilewo heshima yoyote atunze familia aache uvivu na kuvaa ngwanda tu
 
Biblia haisomwi kwa kamstari kamoja ulikokanukuu. Huyu bint kamkosea heshima mumewe na familia yake. Hata kama alikua anamlisha mumewe hakupaswa kumtangaza Acha kushabikia utoto na upuuzi wa huyu bint.
Je kupigwa kwake ni sahihi?
 
Nyinyi watu huwa mnashangaza sana, mnafikiri maisha ya kila mtu yaonaongozwa na hii novel ya kuitwa biblia?
Hapa anaongelewa kiria joyce, na kilewo ndoa yao ilibarikiwa kupitia biblia
 
yooooooote hayo yanatokana na neno Kweli Pesa Mwanaharamu
 
Huyu Joyce ni moja ya wanawake wapumbafu kabisa kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia
 
Hapa anaongelewa kiria joyce, na kilewo ndoa yao ilibarikiwa kupitia biblia


Kama ndoa iliyobarikiwa na biblia inakuwa hivi, basi biblia haina faida yoyote.
 
Kama ndoa iliyobarikiwa na biblia inakuwa hivi, basi biblia haina faida yoyote.
Ndio maana wenye kusoma biblia wanawasaidia kujua maandiko ili wajue waliposimamia ni wapi
 
Inakuaje mwanaume unalishwa na mwanamke?
Then unajiita kamanda.
 
Sikutegemea kama ange fanya hivyo, sio vzr kwakwel tujifunze jinsi ya ku handle matatizo ya Ndoa zetu jaman. Sio poa ujue lile picha noma mzaz
 
mpumbavu hajui hekima hata akionyeshwa na Suleimani.
 
Hakupaswa kuyatoa nje ndicho lawama yake kwa wapenzi wake kuwa ya ndani ni ya ndani kamdharirisha mumewe
 
Hii quiz kwa vijana wanaojiandaa kwa ndoa, chagua jibu sahihi: Ukiwa na akiba ya pesa kiasi cha shilingi 200,000/- na Mkeo naye anazo shilingi 300,000/- jumla ktk familia yenu mtakuwa na shilingi ngapi?
A. 200,000/-
B. 300,000/-
C. 500,000/-
200000 wewe na mkeo 300000 kila mtu ni zake
 
Umeusikia ushauri wa mtoa post lkn? Kabla hatujawaruhusu wake zet waje kwenye hilo darasa maana tusije tukawaruhusu halafu wawe kama wewe tutawanyoosha kwa kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…