Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Kifua kama meza ya kamari
Kitovu kama pipi ya dala
Matako juujuu kama breki ya honda
Kichwa kama gorofa
 
Hivi haya mambo bado yapo Kweli? 90's is gone but never forgotten
 
Kifua kama kuku wa sadaka ,tumbo ka mfuko wakinyozi
 
sikio ka pindo za gunia cheki macho ka vifungo vya suti.
 
Sasa ngondo ni pale ukimtembelea nyumbani kwao uliemwelemea kwa matani jana yake,'toka kwetu, umefata nini?wewe si mgomvi!'.
 
Macho ka ndulele..twende twende...twende...
Nakumbuka ukizidiwa unamwambia mwenzako...ngoja nitasema ulivyofanya matusi na fulani...hapo ananywea anaanza kukubembeleza

Yallah mbavu zangu looh jamani mbavu zangu
 
matani ya watt wa masaki...your daddy is so poor,he cant even pay attention
 
meno ka ngiri mtoto
sula baya hata shetan akikuangalia anapiga nduruu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…