Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Twende twendeee mijichooo kama ndubwiii...........

Raha sanaaa
 
Twende twende ndiyo maana kwenu mlo wa usiku mnafunga pipi juu inaning'inia kila mtu akipita ana lamba anaenda kulala,sasa we ukanogewa mpaka ukaitafuna yote baba yako alikuchapa siku hiyo huji kusahau twende twende...
 
Twende twende twende kichogo kama kona ya sambusa
 
.......kwenu inasemekana kuwa ni ukoo wa lami.....
 
Back
Top Bottom