St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Twende twende twende miguu imekwenda upande kama Bajaj ya kariakoo[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]ahahaaaa jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende twende twende miguu imekwenda upande kama Bajaj ya kariakoo[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]ahahaaaa jamani
Una jicho kubwa kama tochi la mlinziTwende twende twende mwembamba na mifupa imekutoka kama mbuzi wa muuza supu[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
twendetwende una roho mbaya kama kuku mjaneMiss Natafuta muone kwanza ulivyo mzuri mpaka nakuonea wivu japo sikujui.
twende twende una kibamia kama cha sisimiziTwende twende twende miguu imekwenda upande kama Bajaj ya kariakoo[emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahahaha!!twendetwende una roho mbaya kama kuku mjane
Twende twende twende mwembamba kama vuvuzela[emoji12] [emoji38] [emoji38]Una jicho kubwa kama tochi la mlinzi
Twende twende twende maziwa kama mnyonyesha watoto wa kambini.[emoji12] [emoji23] [emoji23]twende twende una kibamia kama cha sisimizi
Twende twende mikono ka frank msigwaPua kama ngumi......
Twende twende sura imekuvimba ka dogo seba wa mbeya secUna nywele ngumu kama mkutano wa nzi
Twende twende akili ndogo ka le mutuzMdomo mchafu ka dampo la gongo la mboto
Twende twende meno ka foleni ya madumuTwende wapi we mchafu...? Sura kama kitabu cha stadi za kazi
Twende twende chogo ka fundikondeHapanifai hapa, napita tu[emoji218]
Twende twende ndo maana ulipigwa ukalia ..twende twende ndo maana ulitumwa ukaenda ...twende twendee hahahaaaTwende twende sura imekuvimba ka dogo seba wa mbeya sec
Wee una m*t*ko kama dunia mbili hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] twendee twendeeeeMdomo mchafu ka dampo la gongo la mboto
Hahahaha wee unasura ngumu kama ngozi ya p*mb* hahahaha twendee twendeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha!!
Una uso umekaa upande kama mdomo wa niniliu
Twende twendeeee