Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Vidole km mapanga ya bombardierTwende twende para kama ngozi tak*
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidole km mapanga ya bombardierTwende twende para kama ngozi tak*
Twende twende kidevu kama mkuu wa shuleVidole km mapanga ya bombardier
Chogo kama mkukiTwende twende kidevu kama mkuu wa shule
Twende twende Mrefu kama usitake nchekeChogo kama mkuki
Komwe kama tunda ya ubuyuTwende twende Mrefu kama usitake ncheke
Twende twende jicho kama tochiKomwe kama tunda ya ubuyu
Twende twende masikio kama upawaTwende twende jicho kama tochi
Twende twende tumbo kama mfuko wa ramboTwende twende masikio kama upawa
Twende twende kapelo kama chupi la supermanTwende twende tumbo kama mfuko wa rambo
Twende twende mikono mirefu kama wapokea maiti TangaTwende twende kapelo kama chupi la superman
Mwembamba kama fidodidoTwende twende mikono mirefu kama wapokea maiti Tanga
Twende twende akili fupi kama madengeMwembamba kama fidodido
Twende twende karanga kama mavi ya mbuzi[emoji12]Twende twende twende pua kama mavi ya ng'ombe.[emoji12]
Tanzania sasa hivi ni saa tano, muda wa kulala, ila kichwa chako kama mti wa nyerereTwende twende akili fupi kama madenge
Twende twende macho kama nasinzia. Uso kama usiku mwema[emoji1] [emoji23]Tanzania sasa hivi ni saa tano, muda wa kulala, ila kichwa chako kama mti wa nyerere
ahahaaaa jamaniKwenu kuchafu mpaka mende na nzi wanavaa yeboyebo
Twende twendeeee
muone kwanza Scorpion wewe, rest in peaceTwende twende macho kama nasinzia. Uso kama usiku mwema[emoji1] [emoji23]
Twende twende twende mwembamba na mifupa imekutoka kama mbuzi wa muuza supu[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Twende twende karanga kama mavi ya mbuzi[emoji12]
Miss Natafuta muone kwanza ulivyo mzuri mpaka nakuonea wivu japo sikujui.ahahaaaa jamani