Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Kiuno kimepinda kama mtego wa simba twende....twendwe... domo kubwa chapati hukinji
 
ndo mana kwenu kuna wasichana wengi hadi mmeandika tangazo MARRY ONE GET TWO FREE,,,,
 
Twende twende sura mbayaaa kufa hautaki
 
twendee... twendeeee... kwenu mpo mob mpaka mmeweka round about seblen
 
Dojage dojage dojage....... O mato mapagalazu ebhe gate lung'wando ofujiwa ng'home na sangate

Bila shaka kuha wadau wanaijua hii
 
Sura ka umelamba ndimu...
muone miguu miembambaa ka ilichomekwa..
Lione... jimwanamke fupiiii, disco lashikwa kichwa badala ya kiuno ....
 
Twende twende sura imekushuka kama umetoka kuamka asubuhi twende mweuc mpaka mtoto anacnzia akijua ucku umefika twende macho yamekutoka pima kama mjuc kabanwa na door
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…