Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Twende, twende, muone vile ....

Macho kama gololi
 
Twende, twende, lione vile ....

Mikono kama banio la kusongea ugali
 
Twende, twende, muone vile ....

Shingo kama pira la mavi
 
Ninyi nyote wakutandika viboko vya 'ban', Na lugha zenu za kuudhi...!
 
Back
Top Bottom