Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Twende twende twende, Mijicho ka baba ndubwi, miguu ka spoku za baiskeli.
 
Haaahaa mmoja akiishiwa maneno..wanaanza kudundana..mwingine akizidiwa Et Mawe hayauzwi...mmenikumbusha utoto!
 
twendee..twendeee shingo kama bilauri ya gongo
 
jicho ka ngumi ya tyson,macho ka unachagua mchele,miguu ka chepeo la konoike,matako ka muhindi alofilisika
 
Lione lirefu akinywa maziwa fresh mpaka yafike tumboni yameganda
 
Lione ndio maana kubwa zima halijatahiriwa !!
 
eti una jino moja lakn unaongoza kwa kupiga mswaki!
 
Back
Top Bottom