Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

duh hujui spoku za baiskeli:shock::shock: unaishi wapi??
 
Macho ka ndulele..twende twende...twende...
Nakumbuka ukizidiwa unamwambia mwenzako...ngoja nitasema ulivyofanya matusi na fulani...hapo ananywea anaanza kukubembeleza


hahahaaa umenikumbusha aisee enzi hzo utoto bwana raha sanaaa
 
Dah enzi hizo ilikua hatari sana. Wapambe sasa ndio walikua wanapandisha hasira.
Umenikumbusha jamaa mmoja alikua na mwili mdogo kuliko wote anaongea haraka haraka kama cherahani, alikua kama 'Amalinze the cat' no one had ever beat him.
 
twende twende masikio kama sungura, twende twende kichwa kama boga twende twendeeeeeee
 
mdogo wangu alikua hajui malani kwaio alikua anakupa...eti twende twende...suruali kama kaptula...viatu kama shati...
 
ugoko kama delly la ice cream twende......twende
tumbo kubwa kushiba kwa jiran twende twende
 
Domo kubwa chapati ukunji.. twende twende sasa.. hilo nimelizid..
 
Halafu kulikuwaga na katabia kama mtu amekuzid matani.. akikutania unamwambia mwenyewe au mara mbili yake.. hahaahhahahahaha
 
Back
Top Bottom