Wauza biashara shule za msingi Arusha

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Kuna mdau alinieleza Arusha yeye anauza mishikaki shule ya msingi wanafunzi wanauwezo wa kununua kwa bei ya 300 Tzs mshikaji mmoja, kwa DSM wanafunzi hata 100 wanaona nyingi alafu vitu vyote wanavyouza shule za msingi 100 Tzs.

Huyu jamaa tungeongea hili suala ila last seen yake inaoneshwa ajaingia JF muda sana.

Nachotaka kujua kwa mtu aliye Arusha aniambie katika shule za msingi vitu vyao wanauza kwa bei gani kachori, Ice Cream nk Inaweza kuwa njia ya kuMake prpability/Hypothesis kuwa kweli uwenda wanafunzi wananunua hata 300 Tzs mshikaki ukiwauzia.

Ningempata anaejishungulisha na kuuza ingekuwa vizuri zaidi ila ngumu kumpata kwasababu hii iashara sio common.
 
Hao watakuwa shule ya msingi za private.Sidhani kama mwanafunzi wa shule ya msingi atatoa 300 kirahisi anunue mshikaki.Labda hizo bidhaa zako uweke njonjo nyingine kama viazi,carrot n.k.
 
100/= mpaka 200/=
 
Hao watakuwa shule ya msingi za private.Sidhani kama mwanafunzi wa shule ya msingi atatoa 300 kirahisi anunue mshikaki.Labda hizo bidhaa zako uweke njonjo nyingine kama viazi,carrot n.k.
Hawa watoto wa DSM sio vionjo tu hata uwauzie Alteza mpya watatakabwanunue kwa 100 Tzs.
 
October hebu tuliza bas kichwa chako mdogo wangu!.. umeshajua changamoto ya hiyo ishu? Maana umesema umeanza...kwanini usistick nhuko ulipo ukasoma ramani kwanza!?
Soma mchezo kwanza...ukiona kuna mwanga unaweza jitanua zaidi!
Labda Kama Arusha uwe na sehemu ya kufikia!
 

Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.

100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.

10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.

Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
 
Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.

100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.

10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.

Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
Nimekuwasap muda hujajibu...
..Ila dogo this term hebu kaza!
 
Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.

100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.

10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.

Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
Hivi wale wanaouzaga mishkaki ya mia mia faida wanapata wapi?
Chunguza kiundani biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…