amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Hizo stick pia si anaweza zikata mara mbili katikati? Maana naonaga ni ndefu sana [emoji1787][emoji1787] sasa tufinyago twa kuuza mia mia itakuwa matumizi mabaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo stick pia si anaweza zikata mara mbili katikati? Maana naonaga ni ndefu sana [emoji1787][emoji1787] sasa tufinyago twa kuuza mia mia itakuwa matumizi mabaya.
yeah, ipo namnaHizo stick pia si anaweza zikata mara mbili katikati? Maana naonaga ni ndefu sana [emoji1787][emoji1787] sasa tufinyago twa kuuza mia mia itakuwa matumizi mabaya.
aah ndio naingia online ngoja nicheki.Nimekuwasap muda hujajibu...
..Ila dogo this term hebu kaza!
Watoto wanakula tu wala hawajali.Na baridi hii Ice Cream Arusha utamuuzia nani.
Kuna vitu viwili bei na idadi, bei yangu nilolenga 200 Tzs hata 100 Tzs haina tatizo endapo utaiza idadi ya 180+ bidhaa kama kwenye idadi ya 100 unapata 2000 maanake ukiwa na uwezo wa kuuza 200 utapata 5000 Tzs.Hivi wale wanaouzaga mishkaki ya mia mia faida wanapata wapi?
Chunguza kiundani biashara.
Bwan Mmeto uchelewi kupaniki imekuwa mpaka mungu aisee.Wewe dogo utaendelea kuulizia kila aina ya biashara mpk unazeeka nakwambia.
You DON'T WALK THE TALK,u keep talkin' talkin' talkin' .Mipango miingi utekelezaji ZERO.
Tule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.
Jamaa anaanzaga nikimchapa bakora kidogo tuu anapaniki achelewi kujaza miscreenshot kwenye simu yake sasahivi ana asira na mimi alikuwa anaongopea raia huko Uzi fulani nikamtandika mpaka akiri ikamkaa sawa.We jamaa bana, mchokozi sana asee[emoji28][emoji28]
Pamoja Denver.All the best mate.
Keep Hustling
INAUZWA MIA HUKU NAMTUMBO ,NYAMA UNAFUATA MACHINJONI UNAWEZA HATA KUPATA KILO 2 KWA 7000 INATEGEMEA CONNECTION TU. I DID ONCE,WILL DO IT AGAINKiukweli na utu uzima wangu huu sijawahi simama hata kuulizia hiyo mishkaki bei.
Lakini mimi najuaga sh mia mia labda kama imepanda bei.
Hii Nzuri ngoja nione jinsi ya kulifatilia.INAUZWA MIA HUKU NAMTUMBO ,NYAMA UNAFUATA MACHINJONI UNAWEZA HATA KUPATA KILO 2 KWA 7000 INATEGEMEA CONNECTION TU. I DID ONCE,WILL DO IT AGAIN
Walk the talk wacha kulia lia kidwanzi,talk the talk ndio mpango mzima.Bwan Mmeto uchelewi kupaniki imekuwa mpaka mungu aisee.
Mwaka 2018 niliamzisha Biashara ya Library mkapa Leo miaka mitatu (3) mbele bado ninayo ina saistain unajua muda huo wa miaka 3 watu wamebadili Biashara ngapi Mr Keyboard warrior.
Nataka niwe muuza barafu wake mkuu.Je ulishawahi kumsaidia a walk the talk baada ya kugundua hilo mate..?
Lazima uone naongepea tu sababu wewe unaongelea biashara za kuuza barafu za mtaji wa elfu 10(which isn't bad at all) wkt mimiJamaa anaanzaga nikimchapa bakora kidogo tuu anapaniki achelewi kujaza miscreenshot kwenye simu yake sasahivi ana asira na mimi alikuwa anaongopea raia huko Uzi fulani nikamtandika mpaka akiri ikamkaa sawa.
hahah mkuu mi mwenyewe ni 'jobless' tu ngoja nisimuudhi huyo jamaa akaja kuninyima ajira kwny biz yake mkuu.We jamaa bana, mchokozi sana asee[emoji28][emoji28]