Wauza biashara shule za msingi Arusha

Wauza biashara shule za msingi Arusha

Hizo stick pia si anaweza zikata mara mbili katikati? Maana naonaga ni ndefu sana [emoji1787][emoji1787] sasa tufinyago twa kuuza mia mia itakuwa matumizi mabaya.
 
Hizo stick pia si anaweza zikata mara mbili katikati? Maana naonaga ni ndefu sana [emoji1787][emoji1787] sasa tufinyago twa kuuza mia mia itakuwa matumizi mabaya.
yeah, ipo namna
 
Hivi wale wanaouzaga mishkaki ya mia mia faida wanapata wapi?
Chunguza kiundani biashara.
Kuna vitu viwili bei na idadi, bei yangu nilolenga 200 Tzs hata 100 Tzs haina tatizo endapo utaiza idadi ya 180+ bidhaa kama kwenye idadi ya 100 unapata 2000 maanake ukiwa na uwezo wa kuuza 200 utapata 5000 Tzs.
 
Wewe dogo utaendelea kuulizia kila aina ya biashara mpk unazeeka nakwambia.

You DON'T WALK THE TALK,u keep talkin' talkin' talkin' .Mipango miingi utekelezaji ZERO.
Bwan Mmeto uchelewi kupaniki imekuwa mpaka mungu aisee.

Mwaka 2018 niliamzisha Biashara ya Library mkapa Leo miaka mitatu (3) mbele bado ninayo ina saistain unajua muda huo wa miaka 3 watu wamebadili Biashara ngapi Mr Keyboard warrior.
 
Tule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.

Operating Capital
_Viungo vya pilipili na nyama
_Ushuru
_Stick/mfagio
_Nauri
_Nyama
_Mkaa
_Mafuta

Starting Capita
_jiko
_Mwamvuri (Depend)
_Pesa ya kujiunga location
_All mentions above

Ila nimdogo.
 
We jamaa bana, mchokozi sana asee[emoji28][emoji28]
Jamaa anaanzaga nikimchapa bakora kidogo tuu anapaniki achelewi kujaza miscreenshot kwenye simu yake sasahivi ana asira na mimi alikuwa anaongopea raia huko Uzi fulani nikamtandika mpaka akiri ikamkaa sawa.
 
Kiukweli na utu uzima wangu huu sijawahi simama hata kuulizia hiyo mishkaki bei.

Lakini mimi najuaga sh mia mia labda kama imepanda bei.
INAUZWA MIA HUKU NAMTUMBO ,NYAMA UNAFUATA MACHINJONI UNAWEZA HATA KUPATA KILO 2 KWA 7000 INATEGEMEA CONNECTION TU. I DID ONCE,WILL DO IT AGAIN
 
  • Thanks
Reactions: amu
INAUZWA MIA HUKU NAMTUMBO ,NYAMA UNAFUATA MACHINJONI UNAWEZA HATA KUPATA KILO 2 KWA 7000 INATEGEMEA CONNECTION TU. I DID ONCE,WILL DO IT AGAIN
Hii Nzuri ngoja nione jinsi ya kulifatilia.
 
Bwan Mmeto uchelewi kupaniki imekuwa mpaka mungu aisee.

Mwaka 2018 niliamzisha Biashara ya Library mkapa Leo miaka mitatu (3) mbele bado ninayo ina saistain unajua muda huo wa miaka 3 watu wamebadili Biashara ngapi Mr Keyboard warrior.
Walk the talk wacha kulia lia kidwanzi,talk the talk ndio mpango mzima.

La sivyo mipango kibao ya hewani haitakusaidia.
 
Jamaa anaanzaga nikimchapa bakora kidogo tuu anapaniki achelewi kujaza miscreenshot kwenye simu yake sasahivi ana asira na mimi alikuwa anaongopea raia huko Uzi fulani nikamtandika mpaka akiri ikamkaa sawa.
Lazima uone naongepea tu sababu wewe unaongelea biashara za kuuza barafu za mtaji wa elfu 10(which isn't bad at all) wkt mimi
nilikua naongelea biashara za pesa mingi.

BTW we chalii si ndio ulisema mtaani kwenu mnasemaga mtu hawezi kumiliki Tsh.30mil bila kua mchawi sio?Pambana na barafu chalii angu utatoboa.
 
Back
Top Bottom