Wauza jezi feki za Simba wamejitokeza kumshambulia Jayrutty,wafuatiliwe

Wauza jezi feki za Simba wamejitokeza kumshambulia Jayrutty,wafuatiliwe

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya mzabuni wa Simba.

Wamejitokeza wazi nashauri wafuatiliwe mwanzo mwisho maana inaashiria licha ya kuwa ndio wazalishaji wa jezi feki,pia walikuwa wamejiandaa kuzalisha vitu vingine feki kama vile skafu,lakini wameshindwa kuziingiza sokoni kwa sababu watakatwa kirahisi kwa vile Jayrutty hajazalusha vitu hivyo.

Hawa watu ndio wahujumu wa Simba na tunapaswa kuwapiga vita.Jayrutty endelea kuchoma vichaka
 
Back
Top Bottom