julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani
Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu fulani yanaitwa maharo au maharage nayo yana uchungu ila harufu yake mbaya.
Wanachokifanya hawa wauza kahawa wanaua afya za watu yale mbegu ni sumu kwa vile buni wanaona ghali wana switch kwenye mambegu, TBS wajue hili.
Sasa grano coffee tutaweza kweli? ingawa pale utapata kitu konki. Alert for all coffee lovers na ukiona nchi haina wanywa kahawa weng ujue bado ni underdeveloped maana starbuck ndio kampuni kubwa dunian ya matajiri na matajiri wote wakina Musk asubhi wanaanza na ma expresso capucino sio chai wala soda kama nchi maskinI