Wauza madini mnamjua dalali wa gems anaitwa Siasa?

Wauza madini mnamjua dalali wa gems anaitwa Siasa?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Umuofia kwenu.

Wadau wa sekta ya madini hususani mikoa ya pwani Kuna mwamba mmoja muongeaji Sana anaitwa siasa. Ni mtu wa mawe hasa gems nataka kufanya nae biashara Fulani huwa sometimes anakuwa na gems kibao na anatembea nazo Sasa naomba kufahamu uhalali wa hii biznes na usalama wa mtaji wangu kwa bwana huyu. Thanks

NB ni mtu poa sijawahi sikia skendo yoyote kwake.
 
NB ni mtu poa sijawahi sikia skendo yoyote kwake.

Kumbe wamjua vzr.... Kama vp we deal nae tu kimya kimya utakuja kutupa mrejesho.
 
Back
Top Bottom