Wauza maduka tupe kisa cha kulizwa na mteja baada ya kumwamini!

kadiri kasimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
588
Reaction score
1,150
Salam wakuu!

Twende kwenye mada husika, tupe mkasa wowote, ulioupata Kwa kumwamini mteja,dukani kwako,iwe kutapeliwa,kutokulipwa, au kufikisika!
Karibuni!
 
Mteja alikuwa anakuja kununua mzigo analipa mda huo huo, baada ya mda akaanza kuwa anakopa mzigo mkubwa afu analipa kwa wakati, siku moja alikopa mzigo mkubwa zaidi ya mwanzo akapotelea kusiko julikana
 
Pole sana mkuu!
 
Jf bn, yani umekalisha kiuno hapo upewe visa, leta chako kwanza !
 
Sawa Kuna mtu alikuja dukani akiwa na gari na hakushuka, akaagiza mahitaji ya nyumbani km Michele,unga,maharage kama elfu65 akatoa 70k akiwa ndani ya gari na vitu alikuwa anapelekewa kwenye gari, Chenji akarudishiwa elfu Tano, Kuja kuangalia kumbe zile 70k ni feki!
 
Mteja alikuwa anakuja kununua mzigo analipa mda huo huo, baada ya mda akaanza kuwa anakopa mzigo mkubwa afu analipa kwa wakati, siku moja alikopa mzigo mkubwa zaidi ya mwanzo akapotelea kusiko julikana
Ndio tabia yao
 
Gharama kama shs ngapi???
 
Kuna mzee mmoja nlizoea kufanya naye biashara. Alikuja baada ya kusikia kuna mambo mazuri ofisini kwetu. Kuna mzee mmoja ambaye ashawahi fanya naye biashara akatutonya kwamba kuweni naye makini huyu mzee anatabia ya utapeli.
Basi bwana tukawa tunafanya naye biashara,analipa fresh,baadaye akaanza kukopa anarudisha baada ya muda mpaka kumuamini.
Baada ya kuwa mteja wa kuaminika akachukua mzigo kubwa,mbaya wala hatukuandikishana,3M+yule mzee hakurudi,fanya vyote lakini wapi,akasema analipa. Siku moja akasema nishalipa hela yako kachukue slip nmecha ofsini kwangu. Kukuta kaweka laki3 na hakulipa tena.
 
Kuna mke wa mtu hapa mtaani kanikopa vitu vya hela ndogo tu alafu kila nikimkumbusha anajichekesha tu sijui nifanyeje
 
Mimi huwa nanyamaza kwa sababu mtu ambaye hataki kukulipa anasubiri umsemeshe vibaya ili apate sababu ya kutokulipa
 
Back
Top Bottom