kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
😂😂😂😂Usije ukakpoesha demu ana makalio makubwa, hakulipi, atajua utamtongoza mmalizane deni
No reform no electionUsije ukakpoesha demu ana makalio makubwa, hakulipi, atajua utamtongoza mmalizane deni
Pole sana mkuu!Mteja alikuwa anakuja kununua mzigo analipa mda huo huo, baada ya mda akaanza kuwa anakopa mzigo mkubwa afu analipa kwa wakati, siku moja alikopa mzigo mkubwa zaidi ya mwanzo akapotelea kusiko julikana
Kwaiyo tukopeshe wenye makalio madogo madogo tu😀😀Usije ukakpoesha demu ana makalio makubwa, hakulipi, atajua utamtongoza mmalizane deni
Sawa Kuna mtu alikuja dukani akiwa na gari na hakushuka, akaagiza mahitaji ya nyumbani km Michele,unga,maharage kama elfu65 akatoa 70k akiwa ndani ya gari na vitu alikuwa anapelekewa kwenye gari, Chenji akarudishiwa elfu Tano, Kuja kuangalia kumbe zile 70k ni feki!Jf bn, yani umekalisha kiuno hapo upewe visa, leta chako kwanza !
Ndio tabia yaoMteja alikuwa anakuja kununua mzigo analipa mda huo huo, baada ya mda akaanza kuwa anakopa mzigo mkubwa afu analipa kwa wakati, siku moja alikopa mzigo mkubwa zaidi ya mwanzo akapotelea kusiko julikana
Gharama kama shs ngapi???Mteja alikuwa anakuja kununua mzigo analipa mda huo huo, baada ya mda akaanza kuwa anakopa mzigo mkubwa afu analipa kwa wakati, siku moja alikopa mzigo mkubwa zaidi ya mwanzo akapotelea kusiko julikana
Pole sana mkuu!Kuna mzee mmoja nlizoea kufanya naye biashara. Alikuja baada ya kusikia kuna mambo mazuri ofisini kwetu. Kuna mzee mmoja ambaye ashawahi fanya naye biashara akatutonya kwamba kuweni naye makini huyu mzee anatabia ya utapeli.
Basi bwana tukawa tunafanya naye biashara,analipa fresh,baadaye akaanza kukopa anarudisha baada ya muda mpaka kumuamini.
Baada ya kuwa mteja wa kuaminika akachukua mzigo kubwa,mbaya wala hatukuandikishana,3M+yule mzee hakurudi,fanya vyote lakini wapi,akasema analipa. Siku moja akasema nishalipa hela yako kachukue slip nmecha ofsini kwangu. Kukuta kaweka laki3 na hakulipa tena.
Na kunakua na mawili uombe utamu upewe mumalizane au utake Hela yako na hutopataUsije ukakpoesha demu ana makalio makubwa, hakulipi, atajua utamtongoza mmalizane deni
Achana nae mkuuKuna mke wa mtu hapa mtaani kanikopa vitu vya hela ndogo tu alafu kila nikimkumbusha anajichekesha tu sijui nifanyeje
Mke wa mtu simu mkuu Kuna jela hukumskia Ali kiba?Kuna mke wa mtu hapa mtaani kanikopa vitu vya hela ndogo tu alafu kila nikimkumbusha anajichekesha tu sijui nifanyeje