Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwani kuna mtu amekufa kwa njaa au ameomba chakula kwa sababu ya njaa Tanzania.Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi.
Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula amedai nchi inajitosheleza kwa chakula.
View attachment 2424425
Mtambaswala wakati mahindi hayo yanatokea Mozambique?Sasa kwa dharula walau kwa kukimbizana serikali ishushe ushuru kule mtambaswala walau chakula kiingie nchini ili soko walau bei zibalance na sio blah blah za Bashe mara mahindi yapo wakati sokoni ni kweupe
Mtambaswala wakati mahindi hayo yanatokea Mozambique?
Wamesema watayarudisha yalikotoka
Wakulima ndio kwa sasa wanapelekewa mahindi ya msaadaAkizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi.
Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula amedai nchi inajitosheleza kwa chakula.
View attachment 2424425
Unaishi kwa Shemeji haya mambo utajua wapi? Nyie ndio mna fake lifeKwani kuna mtu amekufa kwa njaa au ameomba chakula kwa sababu ya njaa Tanzania.
kama hakuna basi nchi inajitosheleza kwa chakula
Mkuu humu kuna watu akili ni fupi sana na wanatetea ujinga,Tulipiga kelele jamani msimu huu soko la ndani pekee linatosha tufunge mipaka matokeo ndio hayo acha tupige hizo GMO za zambia tu hatuna namna maana mahindi hayo ya settlers waliofukuzwa zimbabwe wakahamia zambia wanajipandia GMO ngoja tuipige hadi tukome
Tayari serikali yao ilishakubaliWamesema watayarudisha yalikotoka
Then watu wanamuona Bashe kama Exceptionak fulaniTulieleza hadi serikali za Rwanda na Uganda na Kenya zinavowapa pesa mawakala waingie kununua kwetu mazao ya chakula lakini wapi ndio kwanza wakafunga masikio lakini twende hadi tufike january au february huko itajulikana
Meli za mahindi ya GMO zimeanza kutua Kenya, tusishangae tutapoanza kuuziwa hayo mahindi huku kwetu.Tulieleza hadi serikali za Rwanda na Uganda na Kenya zinavowapa pesa mawakala waingie kununua kwetu mazao ya chakula lakini wapi ndio kwanza wakafunga masikio lakini twende hadi tufike january au february huko itajulikana
Kwani Zambia huko unazani ni nini? Si GMO? au unazania GMO yana rangi tofauti?