February mahindi kutoka Bonde la ziwa y Rukwa yatakuwa yamekomaa,kwanza Disemba hii mahindi ya mabustanini yanakuwa tayari sokoni kwa Wingi maana hupandwa kiangazi.
Mkoa niliko Hakuna mwezi hatuli mahindi ya kuchoma na kande mbichi,ningekuwa misele saiz ningekupigia picha nikuoneshe mahindi mabichi sokoni..
Kwa hiyo acheni kutosha watu na mwaka huh nalima ili nije kupiga Pesa next year kwa Bei za 80,000-105,000 tulizouzia mwaka huu..
Tunaomba ukame iendelee kuwanyoosha huko mikono kwenu ili tupige pesa.Hakuna hata siku Moja Nyanda za Juu Kusini ikakosa mvua ila zinaweza pungua tuu.