I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 389
- 576
- Thread starter
-
- #21
nimekuja kushare kile ambacho kinatokea huenda na wengine kinawatokea ndo maana nikaja hapa.uzi wako uko widely and open kabisa wala sijawatukanaKwahiyo umeshindwa kuwaambia unakuja kututuma sisi tukawaambie? Acha watu watafute rzk za halali achen kuvimba hii Ni dunia
poleee kwa kushindwa kuelewa nilicho andikaYani mtu anatafuta ridhiki yake kwa jasho lake ww unachukia...ungejisikiaje ww unaenda sehem kuomba kazi halafu wanakutimua hata usikaribie tena hilo eneo..
acha dharauYani umeshindwa kuwaambia wenyewe hadi uleteuzi humu!!.
Humu kunawauza mboga??
watapata tu ujumbe mkuuMh sasa wale kina mama wapo humu mkuu!? Huu ujumbe utawafikia kweli?
hahahahaha dah ndo watu wetu inabidi tuvumilie tu mkuu bora ww huyo wa maziwaKuna muuza maziwa uyo sha mset kama alarm, achelewi kuni msha na nili nunua mala moja tu mwez wa 2 uko.basi adi leo ana pita pita
leo nimemwambia naomba uwe unaleta mara tatu kwa week ila isiwe siku tatu mfululizo akasema poa broMbona simpo tu, siku akibisha hodi mkaribishe mwambie asiwe anakuletea mboga za majani.
Hiyo mbinu nimeitumia hapa nyumbani, mpaka leo kimyaaa.Mbona simpo tu, siku akibisha hodi mkaribishe mwambie asiwe anakuletea mboga za majani.
Safi.Hiyo mbinu nimeitumia hapa nyumbani, mpaka leo kimyaaa.
Mi kwangu huwa hawaji, wewe vumilia tuuuu kwa kuwa wewe ni teja laoZa asubuhi members,
Jamani kuna haka katabia kakuletewa mboga nyumbani na wale wakina mama wajasiriamali; ni vyema wanapata hela na riziki lakini kuna tabia mtu anapiga hodi utasema anakudai kwa lisauti likubwa zito utasema sasa imekuwa ugomvi au nini.
Sasa mbaya zaidi ndiyo muda ambao unakuta mtu ndiyo upo na mkeo au demu wako.
Mnaoishi nao naomba muwape taarifa sio vizuri, wabishe hodi taratibu na muda wa kuuza mboga sio saa kumi na mbili kamili asubuhi, bado mapema sana hata mtu hujatoka kitandani aise na hujapanga kitu chochote.
Ndio ulivyo karirishwa kisura....!!biashara asubuhi.!!! na usingiz wako mdio umaskin wako
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app