Wauza mboga mnaotembeza kwenye madishi mnasumbua kwa hodi alfajiri sana

Wauza mboga mnaotembeza kwenye madishi mnasumbua kwa hodi alfajiri sana

Kwahiyo umeshindwa kuwaambia unakuja kututuma sisi tukawaambie? Acha watu watafute rzk za halali achen kuvimba hii Ni dunia
nimekuja kushare kile ambacho kinatokea huenda na wengine kinawatokea ndo maana nikaja hapa.uzi wako uko widely and open kabisa wala sijawatukana
 
hahahaha
Kuna muuza maziwa uyo sha mset kama alarm, achelewi kuni msha na nili nunua mala moja tu mwez wa 2 uko.basi adi leo ana pita pita
hahahahaha dah ndo watu wetu inabidi tuvumilie tu mkuu bora ww huyo wa maziwa
 
Mbona simpo tu, siku akibisha hodi mkaribishe mwambie asiwe anakuletea mboga za majani.
leo nimemwambia naomba uwe unaleta mara tatu kwa week ila isiwe siku tatu mfululizo akasema poa bro
 
Mkuu, tema mate chini umuombe radhi Mwenyez Mungu wako.

Wale wakinamama hawatafuti ela wakaponde raha.

Icho usichokipenda wewe, na wao pia hawapendi kufanya.

Sema TU Hali ya maisha imewapelekea kua ivo.

HUJAFA HUJAUMBIKA MKUU
 
Huku kwetu wanapita mda mujarabu kabisa wala hawana makerere kingine mkubwa wale wanatafuta ridhiki kama wewe unavyotafuta so tuvumiliane tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kuna mmoja apa jirani anaanzaga saa 11 alfajir, kisa tu anataka awapige bao wauza mboga wenzie wa mtaani ..
 
Za asubuhi members,

Jamani kuna haka katabia kakuletewa mboga nyumbani na wale wakina mama wajasiriamali; ni vyema wanapata hela na riziki lakini kuna tabia mtu anapiga hodi utasema anakudai kwa lisauti likubwa zito utasema sasa imekuwa ugomvi au nini.

Sasa mbaya zaidi ndiyo muda ambao unakuta mtu ndiyo upo na mkeo au demu wako.

Mnaoishi nao naomba muwape taarifa sio vizuri, wabishe hodi taratibu na muda wa kuuza mboga sio saa kumi na mbili kamili asubuhi, bado mapema sana hata mtu hujatoka kitandani aise na hujapanga kitu chochote.
Mi kwangu huwa hawaji, wewe vumilia tuuuu kwa kuwa wewe ni teja lao
 
Hapa hata mimi nimeguswa, inabidi itafutwe alternative kwakweli hii ya kupigiana makelele asubuhi kama tunadaiana sio poa kabisa
 
Mpe namba yako ya simu, siku ukihitaji utampa taarifa usiku na kama hajapata taarifa asipite.
 
Back
Top Bottom