ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Hii nchi kila kona upigaji yaani mtu anakutegea ukiwa umelewa anakuja na shati lake na suruali eti 10000 anakupigisha stori wee eti anakushushia bei 5000 sijui ndo pombe au anamuonea huruma unaichukua nguo unakwenda kuijaza chumbani huivai kumbe ilikuwa NI ronyo.Nyie watengenaji wa pombe viwandani endeleeni na kazi huu mgomo wangu binafsi hauwahusu.