ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Hahaha usilogwe ukanunua vitu usiku walah utajutaHii nchi kila kona upigaji yaani mtu anakutegea ukiwa umelewa anakuja na shati lake na suruali eti 10000 anakupigisha stori wee eti anakushushia bei 5000 sijui ndo pombe au anamuonea huruma unaichukua nguo unakwenda kuijaza chumbani huivai kumbe ilikuwa NI ronyo.Nyie watengenaji wa pombe viwandani endeleeni na kazi huu mgomo wangu binafsi hauwahusu.
Kuna namna aloo mfano unaenda sokoni unaona kitu kipo fresh ndizi mbivu labda... lahaula ukifika home walah zimerojeka balaa sijui wanatufanya Nini hawa majamaa😉😉Kuna jamaa alinunua kiatu bar alivopima kilimtosha na aliemuuzia akawa anamsifia kesho yale shoe inambana hauvaa tena mpaka leo
Walevi ni neno pana sana bwasheewalevi si wapumbavu ndio maana
Kutoka Watanzania ni wapumbavu mpaka walevi ni wapumbavu ha ha ha doohsishangai kwani walevi ni wapumbavu
walevi ndio wanaongoza kwenye msafara wa wapumbavu...alafu wapumbavu wa mwisho ni jamaa wa chademaKutoka Watanzania ni wapumbavu mpaka walevi ni wapumbavu ha ha ha dooh
Duhwalevi ndio wanaongoza kwenye msafara wa wapumbavu...alafu wapumbavu wa mwisho ni jamaa wa chadema
habari ya leo meku
Poa mekuhabari ya leo meku
umelionaje zoezi la uchaguzi kwa watia nia hasa ukiitizama kilimanjaroPoa meku
Hahaha Wacha kujidaganya bhaanaawalevi ndio wanaongoza kwenye msafara wa wapumbavu...alafu wapumbavu wa mwisho ni jamaa wa chadema
ni wakati sasa wa kumpenda mama kama kiongozi wa kaya, unapoteza umakini kwa mambo madogo kama haya mekuHahaha sijafuatilia mkuu, unajua binafsi mimi na siasa ni kama paka na panya ,ila kiukweli tu simpendi samia hivyo tu bwashee.