Wauza ndizi wagomea soko la Ndugai

Wauza ndizi wagomea soko la Ndugai

ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa NDIZI Dodoma,WAUZA ndizi wamegoma kuamia soko la Ndugai wanadai liko porini,,,waandishi wa habari kazi kwenu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Lina laana

Hivi sasa ukipita pale lipo baridiii!!!!
 
ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa NDIZI Dodoma,WAUZA ndizi wamegoma kuamia soko la Ndugai wanadai liko porini,,,waandishi wa habari kazi kwenu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wapo sahihi.

Kweli mtu aache soko lile la zamani aende hadi kule kwa ndugai, kununua nini hasa? kwanza ilo soko wabadilishe jina.
 
Kulikuwa na Umuhimu Gani wa kujenga Masomo ya Ajabu Ajabu km hilo DODOMA.Nchi hii tunahitaji vitu vya msingi Sana Kuliko Masoko na Mastendi ya Ajabu Ajabu.

Mkuu, wewe unaona stendi Au soko kitu cha ajabu. Kumbuka hizo ni ofisi ya maelfu ya ndugu zetu.

Yaendelee kujengwa mengi iwezekanavyo kwa kufuata mipango bora. Hizo ni Ofisi.
 
Masoko mengi, stendi nyingi zilijengwa kimakosa.

Stendi zilijengwa kubwa kuliko uhalisia

Masoko yakijengwa makubwa kuliko Uhalisia
 
Hivi Kwa yaliyotokea kuna haja ya kuendelea kuliita hili soko jina hilo?
 
ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa NDIZI Dodoma,WAUZA ndizi wamegoma kuamia soko la Ndugai wanadai liko porini,,,waandishi wa habari kazi kwenu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Moja ya miradi ya kipuuzi ya Jobo na Mwendazake..

Ndio maana Rais aliwaambia hayo masoko watumie kwa masuala mengine ikiwemo kuwa magodown au kuyatumia kama kumbi za mikutano.
 
Kulikuwa na Umuhimu Gani wa kujenga Masomo ya Ajabu Ajabu km hilo DODOMA.Nchi hii tunahitaji vitu vya msingi Sana Kuliko Masoko na Mastendi ya Ajabu Ajabu.
Yule mtu wenu alikuaga hana akili,na yamejengwa kila mahali , afadhari yangejengwa walipo wafanyabiashara sio kwenda kupeleka maporini..

Hivyo hivyo na Mastendi maeneo mbalimbali ya Nchi.
 
Waropokaji wa aina yako hata mngejengewa nyumba bure na serikali still mungelalamika tu
Jibu hoja masoko ya kishenzi kama hayo yana faida gani? Peleka Machinga uone kama watakubari..

SSH kawaambia misoko hiyo isiyo na maana itumiwe kwa maswala mengine kama maghala au kumbi.

Wewe na kaduka Kako tukuoeleke kule utakubari? Misoko ya hivyo iko mingi Sana.Kama unataka soko Jenga mahala ambapo watu watauza .
 
Back
Top Bottom