Waropokaji wa aina yako hata mngejengewa nyumba bure na serikali still mungelalamika tuKulikuwa na Umuhimu Gani wa kujenga Masomo ya Ajabu Ajabu km hilo DODOMA.Nchi hii tunahitaji vitu vya msingi Sana Kuliko Masoko na Mastendi ya Ajabu Ajabu.
Lina laanani kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa NDIZI Dodoma,WAUZA ndizi wamegoma kuamia soko la Ndugai wanadai liko porini,,,waandishi wa habari kazi kwenu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wapo sahihi.ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa NDIZI Dodoma,WAUZA ndizi wamegoma kuamia soko la Ndugai wanadai liko porini,,,waandishi wa habari kazi kwenu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kulikuwa na Umuhimu Gani wa kujenga Masomo ya Ajabu Ajabu km hilo DODOMA.Nchi hii tunahitaji vitu vya msingi Sana Kuliko Masoko na Mastendi ya Ajabu Ajabu.
Kumbe Dodoma kunamapori bhanaEti liko"porini"😀😀
Ova
Sasa Kama unafika mahali unakuta Fisi kagongwa na gari au unakutana na kanga wa porini utapaitajeKumbe Dodoma kunamapori bhana
Moja ya miradi ya kipuuzi ya Jobo na Mwendazake..ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa NDIZI Dodoma,WAUZA ndizi wamegoma kuamia soko la Ndugai wanadai liko porini,,,waandishi wa habari kazi kwenu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yule mtu wenu alikuaga hana akili,na yamejengwa kila mahali , afadhari yangejengwa walipo wafanyabiashara sio kwenda kupeleka maporini..Kulikuwa na Umuhimu Gani wa kujenga Masomo ya Ajabu Ajabu km hilo DODOMA.Nchi hii tunahitaji vitu vya msingi Sana Kuliko Masoko na Mastendi ya Ajabu Ajabu.
Jibu hoja masoko ya kishenzi kama hayo yana faida gani? Peleka Machinga uone kama watakubari..Waropokaji wa aina yako hata mngejengewa nyumba bure na serikali still mungelalamika tu