Wauza smartphone tukutane hapa

NAUZA SAMSUNG GALAXY TAB 4 mpya kwa a takaye hitaji naomba unichak kwa no 0753606603 whtssp
 
Galaxy samsung s2 iko sokoni kwa 145,000
Imebaki moja tu...
Nibip kwa 0762972021 nitakuletea kokote dar es salaam..

S4,5 na J3 out of stock.
Karibuni
 
Tecno boom j8 mpyaa kabisa Ina kila kifaa chake sokoni kwa bei poa tsh.305,000 tu...! Dar es salaam nicheck kwa 0714978668
 
Wakuu natafuta kitochi cha nokia, au Samsung , serious nahtaj fasta budget 25,000 . aje pm
 
Kwa matengenezo ya simu:iliyozima inayosumbua touch screen na matatizo mengine mingi ya smart phone wasiliana nasi Kwa namba 0714648822/0768393948
 
Habari zenu wanaJF, kwa wale ambao watahitaji simu aina za samsung, LG na iphones zote ni original kutoka South Korea. nitakuwa bongo December ya mwaka huu 2016. kama unahitaji nitumie pm inbox tuwasiliane kwa kuweka order yako.
zitakuwepo za bei ya chini kuanzia 250,000 na kuendelea. Laptops pia zitakuwepo njoo inbox tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…