Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza Motorola nexus 6 ..700k
872b34c5eab262ed28007341d94ddd12.jpg
 
Mzigo huu hapa. Samsung Galaxy Note 10.1 (2014 edition), ina 32 gb. Tablet ipo katika ubora wake. Picha naziattach hapo chini. Bei yake ya mwisho kabisa ni 600k. Ina cover na screen protecter pia. Namba zangu ni 0713 925908, na 0625 558932
a814b41038d30ea0e7c7d92eeb59d70d.jpg

1da979136e77b0ffb8fd269c51995cd8.jpg

16cc602107c0476ada0ba5d0e970b4f0.jpg

4d35966d87316f4429a467b6f1de2a80.jpg

a2e3cf5b663923efa59c0448019961d9.jpg
 
Habari zenu wanaJF, kwa wale ambao watahitaji simu aina za samsung, LG na iphones zote ni original kutoka South Korea. nitakuwa bongo December ya mwaka huu 2016. kama unahitaji nitumie pm inbox tuwasiliane kwa kuweka order yako.
zitakuwepo za bei ya chini kuanzia 250,000 na kuendelea. Laptops pia zitakuwepo njoo inbox tuwasiliane
Ahsante mkuu. Ninahitaji laptop, na gadgets kadhaa toka huko!
 
Habari zenu wanaJF, kwa wale ambao watahitaji simu aina za samsung, LG na iphones zote ni original kutoka South Korea. nitakuwa bongo December ya mwaka huu 2016. kama unahitaji nitumie pm inbox tuwasiliane kwa kuweka order yako.
zitakuwepo za bei ya chini kuanzia 250,000 na kuendelea. Laptops pia zitakuwepo njoo inbox tuwasiliane
Nitapata Lumia 850?
 
Dar es Salaam | 1 hour

Nauza vodafone smat tab 3g
Haina tatizo lolote, ina work perfectly na pia inakaa na charge sana almost 3days ikiwa full charged
Nb; bei ni fixed
Mawasiliano 0717546885
Welcome all

1466693071239.jpg
 
Back
Top Bottom