guys natafuta Samsung galaxy demo unit zile ambazo haziingii line iwe ni kuanzia galaxy s6, s6 edge, note 5, s6 edge plus, s7 au s7 edge. natafuta kama show off kwenye project zangu za elimu itatumika kuonyeshea mambo mbalimbali ya kielimu hivyo ukosefu wake wa kutoingia line sio issue.
budget yangu ni 150,000 inaweza kupanda kidogo au kama utafanya kama donation sio mbaya
pia kama ipo simu ambayo ilikuwa ni original lakini imefungiwa na TCRA pia inaweza kufaa kwa kazi hii
hata wale ambao wana simu fake nilizozitaja hapo juu kama unataka kufanya donation unakaribishwa
namba yangu ni 0682 954575