Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung tablets 3 inchi 10 naiuza ni kama mpya ina screen glass protector haina scratches kabisa sh 480 000/=
1469199309380.jpg
1469199324688.jpg
1469199341209.jpg
 
Nauza galaxy note 2 kwa sh 300,000 ni sawa na mpya haina hata scratch ukihitaji ni pm
 
Nauza samsung note 2 280 na note 3 350 simu zote ni mpya nichek 0718948424
 
KWA MWENYE SAMSUNG GRAND PRIME AU HUAWEI Y6 USED ANI-PM AS SOON AS POSSIBLE
 
guys natafuta Samsung galaxy demo unit zile ambazo haziingii line iwe ni kuanzia galaxy s6, s6 edge, note 5, s6 edge plus, s7 au s7 edge. natafuta kama show off kwenye project zangu za elimu itatumika kuonyeshea mambo mbalimbali ya kielimu hivyo ukosefu wake wa kutoingia line sio issue.

budget yangu ni 150,000 inaweza kupanda kidogo au kama utafanya kama donation sio mbaya

pia kama ipo simu ambayo ilikuwa ni original lakini imefungiwa na TCRA pia inaweza kufaa kwa kazi hii

hata wale ambao wana simu fake nilizozitaja hapo juu kama unataka kufanya donation unakaribishwa

namba yangu ni 0682 954575
 
Htc desire 826 nauza, haijatumika sana na iko katika hali nzuri
500k ila inaweza kupungua kidogo
 
Habari forum---Nina iphone 4S naiuza kwa 250k,au kwa kubadilishana na mtu mwenye simu inayotumia Microsoft OS.For more details karibu PM
 
Iphone 6 yenye hali nzuri kwa 950k
Cont:: 0715242454
Samsung Galaxy Note 5 ikiwa na hali nzuri kwa 950k unabeba..
Cont::0715242454
Location: :Mbeya town
 

Attachments

  • 1469538240406.jpg
    1469538240406.jpg
    46 KB · Views: 46
  • 1469538250095.jpg
    1469538250095.jpg
    32 KB · Views: 43
Samsung Galaxy Note 5 ikiwa na hali nzuri kwa 950k unabeba..
Cont::0715242454
Location: :Mbeya town
Samsung Galaxy Note 3 in conditions inataka 550k
Cont::0715 242454
Location: :Mbeya
 

Attachments

  • 1469538348875.jpg
    1469538348875.jpg
    17.5 KB · Views: 46
  • 1469538355806.jpg
    1469538355806.jpg
    40.5 KB · Views: 44
Back
Top Bottom